Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zaynabu
Vullu (kulia) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo kwenye viwanja
vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa zamani wa
Bariadi Magharibi, Isaac Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma
Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Newala na
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawalaza Mikoa na Serikaliza
Mitaa, Capt. Mstaafu George Mkuchika Katikati na Mbunge wa Viti Maalum,
Pindi Chana (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10,
2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Ismani, William Lukuvi
(kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, Gerge Simbachawene (kulia),
Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai (wapili kulia) na Mbunge wa
Chilonwa, Hezekiah Chibulunje
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment