Pages

Tuesday, April 10, 2012

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGENI DODOMA LEO


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Zaynabu Vullu (kulia) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa zamani wa Bariadi Magharibi,  Isaac Cheyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Newala na Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawalaza Mikoa na Serikaliza Mitaa, Capt. Mstaafu George Mkuchika Katikati na Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu na Mbunge wa Ismani, William Lukuvi (kushoto) akizungumza na Mbunge wa Kibakwe, Gerge Simbachawene (kulia), Naibu Spika na Mbunge wa Kongwa, Job Ndugai (wapili kulia) na Mbunge wa Chilonwa, Hezekiah Chibulunje kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 10, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment