Pages

Tuesday, May 22, 2012

AJALI MBAYA IMETOKEA ASUBUHI HII IRINGA YAUWA WATATU HAPO HAPO.. TUNAOMBA RADHI KWA BAADHI YA PICHA MTAKAZO ZIONA



Askari wa usalama barabarani mjini Iringa wakiwa wamebeba moja kati ya maiti za ajali ya Taxi na Fuso iliyotokea eneo la kituo cha Mafuta Eso kwenye barabara kuu ya Iringa -Mbeya asubuhi hii

Wananchi wakitazama Fuso ambalo liligongana na Taxi hiyo

Miili ya wafanyakazi wa barabara Iringa ambao walikufa katika ajali hiyo

Wananchi na polisi wakisaidiana kuinasua miili ya watu watatu walio kufa katika ajali

Hivi ndivyo Fuso hilo lilivyokuwa baada ya ajali

Ubongo ukiwa umertapakaa eneo la ajali




Ajali mbaya imetokea mjini Iringa asubuhi hii na kusababisha vifo vya watu watatu papo hapo huku abiria waliokuwemo katika fuso wakinusurika katika ajali hiyo .


Mashuhuda waliozungumza na mtandao  wa http://www.francisgodwin.blogspot.com/ wamedai kuwa Taxi hiyo yenye namba za usajili T620 ANE ilikuwa ikitokea Ndiuka ikiwapeleka wafanyakazi wa barabara katika eneo la Tanangozi am,bako ujenzi wa barabara kuu ya Iringa -Mbeya uinaendelea 

                                        Mwili wa dereva Taxi ukiwa bado kutolewa
 
                                                                  damu ikiwa imetapakaaa
 

No comments:

Post a Comment