Askari wa usalama barabarani mjini Iringa wakiwa wamebeba moja kati ya maiti za ajali ya Taxi na Fuso iliyotokea eneo la kituo cha Mafuta Eso kwenye barabara kuu ya Iringa -Mbeya asubuhi hii
Wananchi wakitazama Fuso ambalo liligongana na Taxi hiyo
Miili ya wafanyakazi wa barabara Iringa ambao walikufa katika ajali hiyo
Wananchi na polisi wakisaidiana kuinasua miili ya watu watatu walio kufa katika ajali
Hivi ndivyo Fuso hilo lilivyokuwa baada ya ajali
Ubongo ukiwa umertapakaa eneo la ajali
Ajali mbaya imetokea mjini Iringa asubuhi hii na kusababisha vifo vya watu watatu papo hapo huku abiria waliokuwemo katika fuso wakinusurika katika ajali hiyo .
Mashuhuda waliozungumza na mtandao wa http://www.francisgodwin.blogspot.com/
wamedai kuwa Taxi hiyo yenye namba za usajili T620 ANE ilikuwa ikitokea
Ndiuka ikiwapeleka wafanyakazi wa barabara katika eneo la Tanangozi
am,bako ujenzi wa barabara kuu ya Iringa -Mbeya uinaendelea
Mwili wa dereva Taxi ukiwa bado kutolewa
damu ikiwa imetapakaaa
No comments:
Post a Comment