Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, May 16, 2012

BONGE AAMUA KUPANDA MIGOMBA KATIKATI YA BARABARA




Mfanyakazi wa Clouds FM Said Bonge akipanda mgomba barabara ya Mwananyamala Hospital kwenye mashimo ambalo limegeuka kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.Wahusika wamefumbia macho mashimo hayo HIVYO Bonge kuamua kuwakumbusha kwa kupanda migomba kwenye mashimo hayao ili wakipita waweze ona mashimo hayo na kuifanyia ukarabati Barabara hiyo.

                                              PICHA kwa Hisani Ya FULL SHANGWE BLOG.


No comments:

Post a Comment