Kinara
wa burudani Tanzania ambaye ni kipenzi cha wengi haswa kwa nyimbo zake
zinazobamba, Diamond Platnum ameondoka nchini jana kuelekea bondeni
(South Africa) kwa ajili ya kwenda kutumbuiza nchini humo. Diamond
ambaye amealikwa maalumu kwa show ya jumapili ambayo imepangwa kufanyika
ndani ya jumba la BBA kwa ajili ya kutoa burudani kwa washiriki wake
wakati wa ufanyaji wa shughulu ya eviction ambapo mojawapo ya washiriki
watayaaga mashindano hayo, Haijaripotiwa kama msanii huyo atakuwa na
show nyingine tofauti na hiyo.
No comments:
Post a Comment