Aliyewahi
kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara miaka ya nyuma,Mh. Idd Simba (kulia)
akiongea na Wakili Said Hamad El-Maamry wakati alipofikishwa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo kujibu mashata 8
likiwemo la kudanganya, kughushi na kulitia hasara ya sh. milioni 320
Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA). Mshtakiwa huyo alifikishwa
mahakamani hapo pamoja na washtakiwa wengeni watatu akiwemo Diwani wa
zamani wa kata ya Sinza, Salum Mwaking'nda.
mtuhumiawa mwingine katika kesi hiyo akiwa mahakamani hapo.
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Sinza, Salum Mwaking'nda akiwa Mahamani.
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog
Picha zote kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment