Viongozi
wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumain wa Iringa
wakiwa katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa ,kushinikiza kusaidiwa
kuibana bodi ya mikopo ili kuwapa mikopo yao kwa wakati wanafunzi hao
wamepanga kugoma kesho iwapo bodi ya mikopo haitawapa mikopo
Viongozi hao wakiongia katika daladala ambazo walitumia kusafiria kufika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment