Mkapa akiingia Mahakama ya Kisutu kutoa ushahidi.
Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin
Mkapa, leo amepanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
jijini Dar es Salaam na kuhojiwa na mawakili wa serikali na wanaomtetea
aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini Italy, Costa Mahalu, kwenye kesi ya
ufujaji fedha katika ununuzi wa jengo la ubalozi inayomkabili balozi
huyo.Jengo hilo lilinunuliwa kwa shilingi, bilioni 2.9.
Akisindikizwa kuelekea kizimbani.
No comments:
Post a Comment