Pages

Friday, May 18, 2012

MSANII JACQUELINE WOLPER ANAMILIKI MAGARI YA KIFAHARI , NI PAMOJA NA BMW TSH MIL.170

 
 Jacqueline Masawe ‘Wolper’.
Gari analotumia Wolper BMW X6 lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170.…

Gari analotumia Wolper BMW X6 lenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 170.
Wolper  akiwa ndani ya BMW X6 yake.
BMW X6 ya Wolper kwa nyuma.
Toyota Harrier Lexus lenye thamani ya Sh. milioni 25 ambalo linatumika kuwapeleka wadogo zake Wolper shuleni.
Toyota Noah lenye thamani ya Sh. milioni 18 analotumia Wolper kwenye kazi zake za filamu.

No comments:

Post a Comment