TAYARI TUMETUA (KIA) MUDA MFUPI UJAO TUNARUKA KUELEKEA JIJINI MWANZA
Tayari ndege
mpya ya shirika la ndege la ATC aina ya Boeing 737-500 imeshatua katika
uwanja wa ndege wa Kilimanjaro Internationl Airport kwa muda kabla ya
kuelekea jijini Mwanza tena na kurudi jijini Dar es salaam katikati
aliyeshika ua ni mtangazaji wa Clouds Said Bonge akishoo Love na
mashabiki wake pamoja na wafanyakazi wa kiwanja cha ndege cha KIA leo
hii katika uzinduzi rasmi wa safari zake.
Hii ndiyo ndege
yenyewe ya ATC Boeing 737-500 ikiwa katika kiwanja cha ndege cha KIA
muda huu kabla ya kuruka kuelekea jijini Mwanza kabla ya kurejea jijini
Dar es salaam.
picha na habari kwa hisani ya fullshangwe
picha na habari kwa hisani ya fullshangwe
No comments:
Post a Comment