Pages

Thursday, May 3, 2012

PICHA TATU ZA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU.


Hii ni sehemu ya jumba la BBA mwaka huu ambapo shindano hilo linaanza rasmi May 6 Afrika kusini ambapo itakua inaonyeshwa 24/7 kwa siku 91 kwenye DStv channel 198 huku time hii watu wakienda wawili wawili na mshindi akiondoka na USD 300 000.

Game inaanza saa tatu usiku wa May 6 2012.

.

No comments:

Post a Comment