Pages

Friday, May 4, 2012

STUDIO YA KISASA YA MIKE T IITWAYO FUTURE SOUND




vifaa vya kisasa katika studio hii ya future sound


Kazi inaendelea katika studio hii ya kisasa mchana huu



Mkurungenzi mtendaji studio ya future sound msanii Mike T akiwa kazini leo ,

Studio hii ya future sound inapatikana eneo la Mwembechai jijini D'Salaam ambapo kazi kubwa zimekuwa zikifanyika kwa kuwainua wasanii
Picha na Francis Godwin 

No comments:

Post a Comment