Msanii
wa muziki wa kizazi kipya anayefahamika kwa jina la Bob Juniour ambaye
hivi majuzi tu alikumbwa na tuhuma za utapeli wa kupokea fedha kwa ajili
ya show jijini Mwanza na kutotokea kwenye show hiyo sasa ukweli
wajulikana. Kwenye tukio hilo ambalo promota mmoja huko mwanza
alitapeliwa kwa njia ya simu kwa kupewa namba alizoambiwa ni za Bob
Juniour ambapo walikubaliana Bob akafanye show
Mwanza kitendo kilichomsukuma promota huyo
kutoa advance ya laki nane kupitia huduma za simu akizani anamtumia Bob na kumbe fedha hizo ziliingia mikononi mwa matapeli, Uchunguzi uliofanywa na polisi ulibaini kuwa mdogo wake na msanii J.I ambaye alitamba na nyimbo ya kidato kimoja ndiye alifanya tukio hilo na alipokamatwa na polisi mdogo wa msanii huyo alimtaja msaanii mwingine maarufu Mike Tee kuwa ndiye aliyemtuma kufanya hivyo,lakni hadi Mike anatafutwa kuzungumzia swala hilo hakuwa tayari kufanya hivyo. Chanzo Bongo5.

No comments:
Post a Comment