Pages

Monday, May 14, 2012

Simba yatolewa katika Mashindano na AL AHLY SHANDY kwa Penati 9 kwa 8


Hapa Kipindi cha Kwanza Mwishoni Ambapo Simba walikuwa wamezidiwa sana 
Mabadiriko yanafanyika kiasi hapa 
Mpira unaendelea ambapo waarabu wanazidi kuwa kaanga Simba 

Mchezaji wa AL AHLY akiwa ameumizwa 
Juma Kaseja akiwa anapiga mpira 
Muda mchache baada ya Mpira Kwisha 
Juma Kaseja akiokoa Hatari hapa baada ya kutaka kufungwa Goli la Nne

No comments:

Post a Comment