Pages

Sunday, May 13, 2012

ANGALIA HAPA PICHA ZA NDEGE MPYA YA AIR TANZANIA.


Ndege hii mpya ya Boeing 737-500 inaanza safari zake wiki ijayo, Dar-Jro-Mwanza.

C.E.O wa Air Tanzania Paul Chizi akizindua rasmi ndege hiyo jana.

.

.

.

.

.

Baadhi ya wafanyakazi wa Air Tanzania wakiwa na mabango, likiwemo la kumkaribisha waziri mpya wa Uchukuzi Harrison Mwakyembe.

No comments:

Post a Comment