Mkongwe
wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za
wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao
vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music Award 2012
Show
ya wakali wa Kili Music Award 2012 ndani ya Uwanja wa Umoja mjini
Mtwara ndio imeanza sasa. Pichani ni Mshindi kutoka Mtwara ambaye
ataenda kurecord jijini Dar es Salaam Nicolazo akitumbuiza na kuwashinda
wenzake wawili.
Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuna kutafuta mmoja atakaeenda
Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhimi wa Kilimanjaro Lager
Mashabiki wakifuatilia show hiyo ya kutafuta vipaji.
Shangwe za kumshangilia Chipukizi ambaye ni kipaji kipya cha Kili Music Award kutoka Mtwara: Picha na Father Kidevu
PROGRAMU YA VISIMA 900 NCHINI KUONGEZA HALI YA UPATIKANAJI MAJI WILAYA YA
LINDI, RUWASA WACHIMBA 9.
-
JUMLA ya visima 9 kati ya 10 vya maji safi na salama vimechimbwa Wilayani
Lindi na Wizara ya maji kupitia kwa wakala wa maji na usafi wa mazingira
Vijiji...
31 minutes ago
No comments:
Post a Comment