Posted: 8th June 2012 by MillardAyo in News
Taarifa rasmi zilizoifikia shaffihdauda.com kutoka nchini Kenya zinasema kwamba Nsajigwa ametua Kenya jana na leo amekutana na viongozi wa klabu ya Gor Mahia na so far mazungumzo yanaenda vizuri na muda wowote wanaweza kufikia makubaliano na Nsajigwa akajiunga na mtanzania mwenzie ambaye walikuwa wakicheza wote Yanga na timu ya Taifa, Ivo Mapunda.(Mwandishi ni Shaffih Dauda )
No comments:
Post a Comment