![]() |
Beki wa Simba, Kelvin Yondan akikabidhiwa jezi ya klabu yake mpya, Yanga na mwanachama wa Yanga, Seif Ahmad 'Magari'. |
![]() |
Kaka yake Kelvin Yondan akiusoma kwa makini mkataba wa Yanga, kabla ya kumruhusu mdogo wake kusaini |
![]() |
Yondan anatia dole gumba nguvu zake zote |
![]() |
Yondan anamwaga wino kwa umakini wa hali ya juu |
![]() |
Yondan akiangalia fedha huku akinywa maji kupoza koo, kulia ni kaka yake |
No comments:
Post a Comment