Mchezaji
Wyne Rooney ameifungia England goli pekee kwenye mechi ya Ukraine na
kufanya wachukue nafasi ya kuongoza Kundi D na kuingia kwenye robo
fainali 2012 watakapokutana na Italia.
Kwenye sentensi nyingine Sweden imeshinda 2 -0 kwenye mechi na France.
No comments:
Post a Comment