Mh Mbowe amesema kuwa Marehemu Makani alikuwa akiugua kwa muda mrefu na kupelekwa hospitali mbalimbali kwa matibabu ikiwemo nje ya nchi,amesema kuwa Mwili wa Marehemu umehamishiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa hifadhi. Msiba upo nyumbani kwake Mbezi Beach jirani na Rainbow.
DKT NCHEMBA AHIMIZA UIMARISHAJI WA NISHATI NCHI ZA AFRIKA
-
Na Benny Mwaipaja, Washington D.C
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amezihimiza nchi za
Afrika kwa kushirikiana na Taasisi za Fedha Dunian...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment