Muasisi wa Chama cha Chadema bob makani Afariki Dunia
Kwa
taarifa zilizopatikana muda mchache uliopita zinaeleza kuwa aliyekuwa
Muasisi wa CHADEMA, Mohammed "Bob" Makani amefariki Dunia jana jioni
jijini Dar kwenye hospital ya Aghakhan,Mwenyekiti wa CHADEMA
amethibitisha hilo kwa njia ya simu kutoka Kanda ya kusini walikokuwa
wakifanya mikutano yao ya hadhara. Mh
Mbowe amesema kuwa Marehemu Makani alikuwa akiugua kwa muda mrefu na
kupelekwa hospitali mbalimbali kwa matibabu ikiwemo nje ya nchi,amesema
kuwa Mwili wa Marehemu umehamishiwa katika hospitali ya Taifa ya
Muhimbili kwa hifadhi. Msiba upo nyumbani kwake Mbezi Beach jirani na Rainbow.
No comments:
Post a Comment