Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, July 9, 2012

Halmashauri ya wilaya meru inakabiliwa na ukata wa fedha




IMEELEZWA kuwa kwa kipindi cha mwaka 2012-2013 ndani ya Halmashauri ya Meru haitaweza kukamilika kutokana na uhaba wa fedha ambao umekithiri ndani ya halmashauri hiyo

Hayo yameelezwa na madiwani pamoja na mkurugenzi wa halmashauri hiyo mapema wiki iliyopita ambapo walisema kuwa hali hiyo itachangia sana umaskini

 Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Trisias Kagenzi alisema kuwa hali hiyo imetokea kutokana na kiasi cha zaidi ya Bilioni moja kushindwa kukapatikana kwa mwaka huu wa fedha

No comments:

Post a Comment