IMEELEZWA
kuwa kwa kipindi cha mwaka 2012-2013 ndani ya Halmashauri ya Meru
haitaweza kukamilika kutokana na uhaba wa fedha ambao umekithiri ndani
ya halmashauri hiyo
Hayo
yameelezwa na madiwani pamoja na mkurugenzi wa halmashauri hiyo mapema
wiki iliyopita ambapo walisema kuwa hali hiyo itachangia sana umaskini
Mkurugenzi
wa halmashauri hiyo Trisias Kagenzi alisema kuwa hali hiyo imetokea
kutokana na kiasi cha zaidi ya Bilioni moja kushindwa kukapatikana kwa
mwaka huu wa fedha
No comments:
Post a Comment