HAYA
ndiyo madhara ya maandamano ya wananchi’Hili ni Gari linalomilikiwa na
Mgodi wa Geita (GGM) likiteketezwa kwa moto na wananchi baada ya
wananchi wa mji wa Geita kuandamana hivi karibuni kwa madai ya
kunyanyaswa na uongozi wa Mgodi huo,miongoni mwa madai ya wananchi ni
pamoja na kuzuiwa kuchukua miamba taka ‘Magwangala’ ndani ya mgodi
huo,mauaji ya vijana wanadodaiwa kuingia ndani ya mgodi huo kuokota
vyuma chakavu na kuiba mawe ya dhahabu.(Picha na David Azaria).
CHANZO GEITA YETU
CHANZO GEITA YETU
No comments:
Post a Comment