Kocha
mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet amewasili mida hii Uwanja wa
Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya
wapenzi wa klabu hiyo. Tazama mapokezi yake tangu anatokea ndani ya
Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani.
|
No comments:
Post a Comment