Pages

Monday, July 9, 2012

MWANASHERIA MKUU ZANZIBAR AJIBU MAPIGO YA TUNDU LISU, NI KUHUSU MABADILIKO KATIBA YA ZANZIBAR



Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman Masoud Othman (Pichani) 
ameshangazwa na mwanasheria mwenzake Tundu Lisu kwa kutofahamu madhumuni na malengo ya mabadiliko ya katiba ya Zanzibar yaliozaa serikali ya umoja wa kitaifa. Kauli ya Mwanasheria huyo aliitoa katika baraza la wawakilishi wakati akifafanua baadhi ya mambo ya kisheria baada ya wajumbe wa baraza hilo kumtaka afanye hivyo kufuatia kauli ya ya Tundu Lisu aliyoitoa bungeni wiki hii.

No comments:

Post a Comment