Bongo Hip Hop Star, Godzilla, ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini
ambao anadai hautengenezi wataalam wa kutosha kutokana na ubovu ulionao.
Akizungumza na Teentz.com mapema leo GodZilla amefunguka kuwa kutokuwepo kwa shule za vipaji maalumu kunawanyima haki watoto wenye vipaji na kujikuta wakiangukia kwenye masomo ambayo hawana uwezo nayo hivyo kuambulia patupu.
"Mfumo wa Elimu Tanzania inabidi ubadilishwe ni ndefu sana na haiko katika kutengeneza wataalam(Experts), mfano mtu kasoma hadi darasa la 7 akafeli na mtu aliyesoma hadi Form 6 akafeli wote wanakuwa sawa coz hawaajiliwi popote hivyo miaka yote ambayo wamesota shule inaku wa imepotea bure".
Akiendelea zaidi Nyota huyo wa wimbo maarufu wa 'La Kuchumpa' alikumbusha kuwa kitambo kulikuwa na elimu ya darasa la 4 na kama ikitokea…
Bongo Hip Hop Star, Godzilla, ameukosoa mfumo wa elimu uliopo nchini ambao anadai hautengenezi wataalam wa kutosha kutokana na ubovu ulionao.

Akiendelea zaidi Nyota huyo wa wimbo maarufu wa 'La Kuchumpa' alikumbusha kuwa kitambo kulikuwa na elimu ya darasa la 4 na kama ikitokea ukapata bahati ya kukutana na mzee aliyesoma elimu hiyo kiuhakika lazima utakimbia alimaliza.

STORI NA DISMAS TEN 0718489260
No comments:
Post a Comment