NMB kwa kutambua kuwa watanzania wengi wanaweka akiba ili kutimiza
malengo mbalimbali waliyojiwekea yakiwa ni kujenga nyumba,kusomesha
watoto na kufikia malengo mengine muhimu maishani mwao,
ilizindua promosheni inayowezesha wateja wa NMB Bonus Account an NMB
Junior Account kuingia kwenye droo ya kushinda tani ya saruji,mabati
ya kuwezeka,amana maradufu,ada za shule,fulana za NMB pamoja na mabegi
ya shule kupitia promosheni ya Jenga maisha yako na NMB.
Hivyo basi, leo droo ya Jenga maisha yako na NMB imechezeshwa na washindi
zaidi ya 167 wamejishindia zawadi mbalimbali zikiwemo tani za seruji
na mabati ya kuwezekea.
Katika picha juu ni Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akifafanua jambo wakati
wa kuwatafuta washindi wa droo ya Jenga Maisha Yako na NMB iliyofanyika
leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Selcom Wireless,
Julio Batalia na Mkuguzi kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Sadiki
Elimsu.
Akizungumza katika hafla hiyo, Meneja Mawasiliani wa NMB,Josephine
Kulwa alisema “NMB inaamini promosheni hii sio tu kwamba itaongeza tabia ya kujiwekea
akiba lakini pia itasaidia wateja watakaoshinda kufikia malengo waliojiwekea
na pia kuboresha maisha yao”
Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akibonyeza kitufe kuwatafuta
washindi wa droo ya Jenga Maisha Yako na NMB. Katikati ni Mkaguzi kutoka
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, sadiki Elimsu na Meneja Bidhaa wa Selcom
Wireless, Julio Batalia.
Wateja wote watakaofungua akaunti au kuongeza amana
kwenye NMB Bonus Account au NMB Junior Account watapata riba ya kuvutia
ambayo inaweza kuwa hadi asilimia 10 kutegemeana na kiwango cha amana zilizowekwa.
Zawadi zilizoshindaniwa
kwenye droo ya leo
Zawadi
|
Namba ya washindi
|
Tani
ya saruji (simenti)
|
8
|
Mabati
|
3
|
Double your account
|
3
|
Mabegi ya shule
|
100
|
Ada zashule
|
3
|
Tisheti za NMB
|
150
|
No comments:
Post a Comment