Shirika
la Save the Children, limeonya kuwa ukosefu wa mvua ya kutosha na
kuendelea kwa mzozo nchini Somalia, kunatishia kusambaratisha mafanikio
yaliyoafikiwa tangu mwaka uliopita, wakati taifa hilo ilipokumbwa na baa
la njaa.
Shirika hilo limesema ikiwa hali hiyo itaendelea, maisha ya maelfu ya watoto imo hatarini.
Shirika hilo la save the children,
limesema idadi kubwa ya familia nchini Somalia, hawana uwezo wa
kukabiliana na athari za ukame na kutoa wito wa kuongezwa kwa misaada
zaidi ya dharura nchini Somalia.
No comments:
Post a Comment