Hii ndiyo bango la mradi huo wa
ujenzi wa barabara inayotoka mnarani hadi bandarini ambayo inasimamiwa
na kampuni ya SOUTHERN LINK.
Pia bila shaka kwa Manicipal ya
Mtwara mjini hii ndiyo itakuwa barabara ya kwanza kwa ukubwa na kiwango
cha ubora kuliko zingine ambazo zipo katika Manicipal hiyo.
Haya ni baadhi ya Magreda ya kampuni ya Southrn Link yakipiga mzigo kukamilisha barabara hiyo.
Sehemu ya wanawake ambao wamejipatia vibarua kwa muda katika barabara hiyo ili kukuzi mahitaji kidogo ya maisha yao.
No comments:
Post a Comment