Hawa ni askari Polisi wa Mjini Iringa,
usidhani walikuwa wakinunua mafuta ya kula, Hapana. Ndani ya madumu hayo
ya kuhifadhia mafuta walibaini kuwepo kwa bangi iliyokuwa ikisafirishwa
kupelekwa Tunduma, Mbeya
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Iringa, Peter Kakamba akitoa na kuonesha bangi kutoka katika moja ya
madumu ya mafuta aina ya Oki.
Fadhil Juma (kushoto) na Baraka Mwinuka
(kulia) wakiwa ndani ya ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa baada
ya kukamatwa na kilo 60 za bangi zilizokuwa zimejazwa ndani ya madumu
ya mafuta ya kula yaliyotobolewa kwa chini.Chanzo:
www.frankleonard.blogspot.com
No comments:
Post a Comment