Pages

Friday, August 10, 2012

AJALI;Daladala Lateketea Kwa Moto Buguruni jijini Dar



 Gari ya Abiria aina ya Isuzu Journey ikiteketea kwa moto mchana wa leo maeneo ya Buguruni Rozana jijini Dar es salaam. Chanzo cha moto huo hakikujulikana mara moja na hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha katika ajali hii ya moto.
IMEANDIKWA NA MAGGID MJENGWA

No comments:

Post a Comment