HI ni moja ya gari yetu ya altezza ambayo ilienda jijin dodoma kwa ajili ya kupeleka family kula sikuku, lakini kwa bahati mbaya juzi wazee wa kazi waliingia na kufumua taa zote za nyuma, power window pamoja na site mirrorthadhari;kwa hiyo ndugu wasomaji blog ya ujanatz ilipoenda katka kituo kikuu cha polisi cha dodoma tukapewa taarifa kuwa gari zaidi ya saba zishapigwa, na inavyoonekana hao jamaa ni maprofressiona so chukua tahadhari kabla hujalizwa!
MKE WA RAIS ZANZIBAR AFURAHISHWA NA MCHANGO WA WAKE WA MARAIS AFRIKA
-
MKE wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya
Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mhe. Mama Mariam Mwinyi ameeleza
kufurahi...
46 minutes ago
No comments:
Post a Comment