Mpendwa msomaji napenda kuzungumzia mambo machache ya kuyazingatia pindi unapotaka kwenda kufanya mapenzi na mpenzi wakoSiku zote katika mapenzi usafi huwa ni kitu muhimu sana na nijambo la kuzingatiwa hususan unapotaka kwenda kukutana na mpenzi wako katika eneo la chumbani kwa dhumuni la kutaka kufanya nae Mapenzi. Endapo kama unafaham unakwenda kufanya mapenzi na mpenzi wakokwanza hakikisha unakuwa msafi katika mwili wako kwa kujisafisha sehemu husika kama vile kwenye makwapa, sehemu za siri na pia hakikisha kinywa chako kikosafi unaweza kupiga mswaki ili kuondoa mabaki ya vyakula yanayoweza kusababisha harufu ya mdomo na pia hakikisha umenyoa nywele za kwapani na za sehemu ya siri na kitu kikubwa nenda kwa mpenzi wako ukiwa unanukia manukato mazuri ila yasiwe yenye harufu kali nivyema ukajipaka Body sprey katika sehemu za makwapa au kama utatumia perfume basi hakikisha perfume uliyopaka harufu yake sikali na iwe ni yenye ubaridi na usijipulizie kupitiliza nyunyizia manukato yako kwa ndani ya nguo kidogo na pia kitu kingine muhimu hakikisha nguo zako za ndani ni safi na zinaonekana katika hali nzuri
- Hayo ndio maandalizi muhimu na yakuzingatia pindi unapohitaji kukutana na mpenzi wako chumbani kwa dhumuni la kutaka kufanya nae mapenzi hakikisha unakuwa msafi ili usijekumboa mpenz wako akakuona kama ni mwenye kasoro. Atakapokuona unakasoro atashindwa kukwambia pengine atahisi akikwambia utajisikia vibaya hivyo kuwa makini fanya maandalizi ya kutosha ndio uweze kukutana na mpenzi wako sehemu ya falagha.
Vodacom undertakes major upgrade to ensure a resilient connected future
-
*29th October 2024: Vodacom Tanzania, the Leading technology and
Communication Company, has announced that it has undertaken major overhaul
in its critic...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment