Nahodha
wa Scotland, Darren Fletcher jana alirejea uwanjani kwa 'mguu mbaya'
wakati Manchester United ikifungwa 2-1 na Aberdeen katika mechi maalum
kwa ajili ya kumuaga gwiji wa Dons, Neil Simpson.
Kocha
wa zamani wa Aberdeen, Sir Alex Ferguson aliwapanga Ryan Giggs, Paul
Scholes na Rio Ferdinand katika mechi hiyo maalum ya mchezaji wake wa
zamani, ambaye sasa ni Mkuu wa akademi ya vijana ya Pittodrie.
Darren Fletcher akiwa na beji ya Unahodha
Jonny Hayes akifunga bao la kwanza
Hayes (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Aberdeen
Ryan Giggs akipambana uwanjani
Fletcheruwanjani
Darren Fletcher akisaini autographs
Kocha Msaidizi wa Aberdeen,r Archie Knox (kushoto) akiingia uwanjani akiwa ameongozana na Sir Alex Ferguson
Federico Macheda (kushoto) akichuana na mchezaji wa Aberdeen, Isaac Osbourne
Neil Simpson akiwapungia mikono mashabiki kuwaaga
Shabiki mtoto wa Aberdeen akiwa amevaa mask la Wayne Rooney..
NA BIN ZUBEIRY
No comments:
Post a Comment