Pages

Friday, August 10, 2012

HII NDO TANZANIA UWIZI MBAYA MWIZI ACHOMWA MOTO KWA KOSA LA KUIBA KOKI YA MAJI!!CHECK PICHA HIZI !!






Marehemu Hassan Stanley .

Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Hassan Stanley asubuhi ya kuamkia leo majira ya saa kumi na moja  katika maeneo ya uwanja wa mbuzi Kiloleli jijini Mwanza, ameuawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa na kuchomwa moto hadi kupelekea mauti yake.



Umati uliokuwa kwenye tukio.


Wananchi wa maeneo hayo wakiangali huku wakijiuliza maswali ya kwanini matukio ya kujichukulia sheria mikononi bado wanaendekezwa na Wananchi.

Koki aliyokutwa nayo marehemu Hassan Stanley.

No comments:

Post a Comment