skip to main |
skip to sidebar
Je Wamjua John Stephen Akhwari shujaa wa Tanzania ambaye katika Olympic mwaka 1968 aligoma kuacha kukimbia baada ya mguu wake kuteguka
Huyu
ndiye John Stephen Akhwari shujaa wa Tanzania ambaye katika Olympic
mwaka 1968 aligoma kuacha kukimbia baada ya mguu wake kuteguka na
kujeruhiwa vibaya hadi alipomaliza na kutoa kauli ya "Nchi yangu
haikunituma maili 10,000 kuja kuanza mbio bali kuja kumaliza mbio".
Mwaka 1983 alipewa tuzo ya kipekee ya heshima kwa ushujaa wake na
amekuwa akikaribishwa katika kila mashindano ya Olimpiki kama balozi wa
heshima. Anakufundisha nini katika maisha yako ya kawaida.
No comments:
Post a Comment