Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, August 17, 2012

JOHN BOCCO AONGEZEWA SIKU 6 ZA MAJARIBIO



John Bocco.
Baada ya majaribio ya siku 7 Super Sport United imewapunguza wachezaji sita kati ya 9 waliokuwa wakifanya majaribio, waliopunguzwa wanatoka Congo, Senegal, Nigeria na Mali.
Wachezaji waliobaki ni JB19 toka Tanzania, Mnigeria ambaye alikuwa Petro Athletico ya Angola na Raia wa Chad. Nafasi ni moja tuu. Bocco ameongezewa siku sita nyingine za majaribio hadi Alhamisi Ijayo....All The Best JB19.

No comments:

Post a Comment