Pages

Thursday, August 2, 2012

Kutoka Viwanja Vya Bunge Mjini Dodoma jana


 Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea ndani ya ukumbo wa Bunge mjini Dodoma Aug,1,2012 kwaajili ya kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012
 Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya akitoa shukurani Aug,1,2012 kwa Serikali na Wananchi waliomuombea wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika vikao vya Bunge ,mjini Dodoma.
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akijibu hoja mbalimbali  Bungeni jana kuhusu wizara yake,Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment