Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe akielekea ndani ya ukumbo wa Bunge mjini Dodoma Aug,1,2012 kwaajili ya kusoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi kwa mwaka wa Fedha,2012-2012
Waziri
wa Nchi , Ofisi ya Rais- Asiye na Wizara Maalumu Prof, Mark Mwandosya
akitoa shukurani Aug,1,2012 kwa Serikali na Wananchi waliomuombea
wakati akiwa mgojwa hadi kupata nafuu na kuweza kuhudhuria tena katika
vikao vya Bunge ,mjini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akijibu hoja mbalimbali
Bungeni jana kuhusu wizara yake,Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment