MTOTO
mmoja ambaye hakufahamika jina lake, amefariki dunia katika ajali ya
gari eneo la Kigamboni Machava leo wakati gari hilo likitokea Mji Mwema
kuelekea Kivukoni. Ajali hiyo imetokea baada ya gari hilo lenye namba za
usajili T 645 AVG kufunga breki ghafla kutokana na gari lililokuwa
mbele yake nalo kusimama ghafla hivyo kusababisha gari hilo kuingia
mtaroni na kupoteza uhai wa mtoto huyo.
BIL. 4.5 KUTEKELEZA MIRADI SUA
-
Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) katika kipindi cha mwezi Mei hadi
Oktoba, 2024 kimefanikiwa kupata miradi 11 yenye jumla ya thamani ya
takriba...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment