TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20,
Ngorongoro Heroes imetolewa rasmi katika mbio za kuwania kucheza Fainali za
Afrika kwa vijana wenye umri huo zitakazofanyika nchini Algeria mwakani, baada
ya kufungwa na wenyeji, Nigeria, Flying Eagles mabao 2-0, hivyo kuaga kwa
kipigo cha jumla cha 4-1, baada ya awali kufungwa 2-1, Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam.
|
No comments:
Post a Comment