Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, August 13, 2012

NGORONGORO NJE AFRIKA


TIMU ya soka ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20, Ngorongoro Heroes imetolewa rasmi katika mbio za kuwania kucheza Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri huo zitakazofanyika nchini Algeria mwakani, baada ya kufungwa na wenyeji, Nigeria, Flying Eagles mabao 2-0, hivyo kuaga kwa kipigo cha jumla cha 4-1, baada ya awali kufungwa 2-1, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment