Pages

Monday, August 27, 2012

PICHA ZA MATUKIO YA MAANDAMANO YA CHADEMA YEKUFAMOROGORO,TAZAMA MWILI WA KIJANA ALIYEKUFA KATIKA MAANDAMAO HAYO


Picture
Askari wa Kikosi cha kuzuia fujo FFU wakitoa onyo kwa waandamanaji kutawanyika 

Mkurugenzi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema akiwa mikononi mwa polisi

 Gari yenye mabango wakati wa maandamo ya chadema mkoano morogoro
 Wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema wakiwa eneo la masika wakati wa maandamano hayo ya chadema leo mkoani morogoro

Polisi waliokuwa katika maandamano hayo leo





Baadhi ya wafuasi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA mkoani Morogoro wakiongozwa na polisi baada ya kuwatawanyisha walipokuwa wakifanya maandamano maeneo ya Msamvu mjini Morogoro mchana wa leo. Polisi walitibua maandamano hayo yanayodaiwa kutokua rasmi kwa mabomu ya machozi. 
Picture
Huyu ni Ally Zona muuza magazeti wa Msamvu Morogoro akiwa hajitambui baada ya kutandikwa risasi na Polisi kuzuia maandamano ya CHADEMA 
Picture
Huyu ni mwananchi aliyeuawa na polisi kufuatia maandamano ya amani ya CHADEMA leo asubuhi... Alikuwa ni muuza magazeti ambaye hakujihusisha hata na maandamano. Wengine watatu wamejeruhiwa kwa risasi. 
Picture
Ndugu wa marehemu Ally Nzona akiwa amesimama kando ya mwili wa ndugu yake katika hospitali ya Mkoa wa Morogoro, ambaye alifariki kwa kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya amani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mjini Morogoro

No comments:

Post a Comment