Pages

Monday, August 27, 2012

MAPENZI NA UHUSIANO;MAANDALIZI MUHIMU YA KUFANYA KABLA YA KUKUTANA CHUMBANI NA MPENZI WAKO




Mpendwa msomaji  napenda kuzungumzia mambo machache ya kuyazingatia pindi unapotaka kwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako
Siku zote katika mapenzi usafi huwa ni kitu muhimu sana na nijambo la kuzingatiwa hususan unapotaka kwenda kukutana na mpenzi wako katika eneo la chumbani kwa dhumuni la kutaka kufanya nae Mapenzi. Endapo kama unafaham unakwenda kufanya mapenzi na mpenzi wako
kwanza hakikisha unakuwa msafi katika mwili wako kwa kujisafisha sehemu husika kama vile kwenye makwapa, sehemu za siri na pia hakikisha kinywa chako kikosafi unaweza kupiga mswaki ili kuondoa mabaki ya vyakula yanayoweza kusababisha harufu ya mdomo na pia hakikisha umenyoa nywele za kwapani na za sehemu ya siri na kitu kikubwa nenda kwa mpenzi wako ukiwa unanukia manukato mazuri ila yasiwe yenye harufu kali nivyema ukajipaka Body sprey katika sehemu za makwapa au kama utatumia perfume basi hakikisha perfume uliyopaka harufu yake sikali na iwe ni yenye ubaridi na usijipulizie kupitiliza nyunyizia manukato yako kwa ndani ya nguo kidogo na pia kitu kingine muhimu hakikisha nguo zako za ndani ni safi na zinaonekana katika hali nzuri
- Hayo ndio maandalizi muhimu na yakuzingatia pindi unapohitaji kukutana na mpenzi wako chumbani kwa dhumuni la kutaka kufanya nae mapenzi hakikisha unakuwa msafi ili usijekumboa mpenz wako akakuona kama ni mwenye kasoro. Atakapokuona unakasoro atashindwa kukwambia pengine atahisi akikwambia utajisikia vibaya hivyo kuwa makini fanya maandalizi ya kutosha ndio uweze kukutana na mpenzi wako sehemu ya falagha.

No comments:

Post a Comment