SERIKALI YA KOREA YATOA MAGARI MAWILI YA KUBEBEA WAGONJWA MKOA WA PWANI
Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza amezindua magari mawili ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani
magari hayo yametolewa na serikali ya korea kupitia Rotary
intenational club ya tanzania magari hayo yana thamani ya shilngi
milioni mia mbili thelathini za kitanzania kulia ni Jinyong Kim kutoka
shirika la kimaendeleo la korea (koika) aliye kushoto ni mwakilshi wa
rotary club tanzania bwana Bill bali nyuma yao ni mganga mkuuwa
hosipitali ya tumbi Dr Petar datani na aliye nyosha mkono ni
mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu kibaha Dr Cyprian mpemba hafla
hiyo ya makabidhiano yamefanyikia katika hospitali ya tumbi kibaha
Picha na Chris mfinanga
No comments:
Post a Comment