Mkuu wa mkoa wa pwani Mwantumu Mahiza amezindua magari mawili ya kubebea wagonjwa katika hospitali ya Tumbi mkoani pwani magari hayo yametolewa na serikali ya korea kupitia Rotary intenational club ya tanzania magari hayo yana thamani ya shilngi milioni mia mbili thelathini za kitanzania kulia ni Jinyong Kim kutoka shirika la kimaendeleo la korea (koika) aliye kushoto ni mwakilshi wa rotary club tanzania bwana Bill bali nyuma yao ni mganga mkuuwa hosipitali ya tumbi Dr Petar datani na aliye nyosha mkono ni mkurugenzi mkuu wa shirika la elimu kibaha Dr Cyprian mpemba hafla hiyo ya makabidhiano yamefanyikia katika hospitali ya tumbi kibaha Picha na Chris mfinanga
SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUIMARISHA HUDUMA ZA LISHE NA AFYA BORA KWA
WANANCHI.
-
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla amesema
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imekuwa ikichukua juhudi mbali mbali
katika kuim...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment