Pages

Friday, August 31, 2012

SIKU YA MWISHO YA USAJILI BARANI ULAYA - USAJILI ULIOKAMILIKA NA TETESI


Gael Kakuta ameenda kwa mkopo Vitesse Arnhem kutokea Chelsea

Ryan Babel mchezaji wa zamani wa Liverpool, amerudi timu yake ya utotoni Ajax akitokea Hoffenheim

Gael Kakuta

Hatimaye Dimitar Berbatov amehamia rasmi Fulham kutoka Manchester United kwa ada ya £5million

Mchezaji wa kimataifa wa Brazil Douglas Maicon amesajiliwa kutoka Inter Milan kwenda Manchester City

Charlie Adam amejiunga na Stoke City City akitokea Liverpool kwa ada ya £4MILLION



Andy Carroll amejiunga na West Ham kwa mkopo wa mwaka mzima

Rafael Van Der Vaart amejiunga na Schalke akitokea Tottenham Hotspur

Pablo Hernandez amejiunga na Swansea City akitokea Valencia ya Spain

Scott Sinclair amekamilisha uhamisho wake kutoka Swansea na kuhamia kwa mabingwa wa England Man City

Nicklas Bendtner amehama Arsenal na kwenda kujiunga na Juventus ya Italia      source http://www.shaffihdauda.com/2012/08/live-siku-ya-mwisho-ya-usajili-barani.html    

No comments:

Post a Comment