KIJANA
mmoja ameuawa wakati mwenzake anayesadikiwa kuwa ni Ustadh kwa mavazi
aliyokuwa amevaa, akinusurika kuuawa baada ya kutuhumiwa kuiba baiskeli
eneo ya Kihonda mkoani Morogoro jana jioni. Kwa mujibu wa jeshi la
Polisi, mtuhumiwa huyo aliye hai amelazwa katika hospitali ya Rufaa
mkoani hapa kwa matibabu.
No comments:
Post a Comment